Read the invitation
Share the dress code, venue, time of day and your role in the event.Tuma dress code, venue, muda na nafasi yako kwenye tukio.
DRESS FOR YOUR LIFE · KILA SIKU INA LOOK YAKE
A birthday, a dinner, a wedding invitation or a special night. Start with the feeling you want, then connect the outfit and its finishing details.Birthday, dinner, harusi au usiku wako maalum—tuanze na mood unayotaka, halafu tukamilishe outfit na details zake.
Share the dress code, venue, time of day and your role in the event.Tuma dress code, venue, muda na nafasi yako kwenye tukio.
Choose the detail you want to stand out: silhouette, color, shoes or jewelry.Chagua unachotaka kivutie zaidi: shape, rangi, viatu au vito.
Tell us when you need the look so we can discuss stock, try-on and collection in time.Tuambie tarehe unayohitaji ili tuangalie stock, kujaribu na kuchukua kwa wakati.
Send your usual clothing and shoe sizes, a photo reference, the event date and a comfortable budget. If you already have part of the outfit, include a photo. We will confirm which actual pieces are available and their individual prices.Tuma saizi ya nguo na viatu, picha ya mfano, tarehe na bajeti unayopanga. Kama tayari una sehemu ya outfit, tuma picha. Tutathibitisha bidhaa zilizopo na bei ya kila moja.
YOUR NEXT STEP · HATUA INAYOFUATA
Use the enquiry to start a conversation. A final outfit depends on current stock, fit and your choice.Tuanze mazungumzo. Look ya mwisho inategemea bidhaa zilizopo, fit na uchaguzi wako.