Send the essentials
Your preferred date and time, usual sizes, occasion and budget. Tell us if someone is joining you.Tuma tarehe na muda unaopendelea, saizi, tukio na bajeti. Tuambie kama unakuja na mtu.
PLAN A VISIT · TUJIANDAE PAMOJA
If you are preparing for an important occasion or a wardrobe refresh, message us before you visit so we can understand your brief.Ukiwa una tukio muhimu au unapanga wardrobe refresh, tuandikie kabla ya kuja ili tujue unachohitaji.
Your preferred date and time, usual sizes, occasion and budget. Tell us if someone is joining you.Tuma tarehe na muda unaopendelea, saizi, tukio na bajeti. Tuambie kama unakuja na mtu.
We will discuss availability and what can be prepared. Confirm any dedicated service, fee or timing directly.Tuongee kuhusu muda na kinachoweza kuandaliwa. Thibitisha huduma maalum, gharama au timing moja kwa moja.
Your visit request becomes an appointment only after the shop confirms it. Keep that message.Ombi lako linakuwa appointment baada ya duka kuthibitisha. Hifadhi ujumbe wa uthibitisho.
YOUR NEXT STEP · HATUA INAYOFUATA
Store hours: Monday–Saturday, 9 AM–9 PM, Dar es Salaam time.Saa za duka: Jumatatu–Jumamosi, saa 3 asubuhi hadi saa 3 usiku.